Jinsi Ya Kupika Keki

Jifunze jinsi ya kupika keki kirahisi. Step by step guide on how to prepare care. Nothing so special needed. Tutakuonesha jinsi ya kupika keki kwa kutumia jiko la mkaa. We’ll take you through the easiest cake receipt you can use to prepare care at home.

 

MAHITAJI
1 unga vikombe2
2 Maziwa kikombe1
3 Sukari kikombe1
4 Siagi kikombe1
5 Baking powder vijiko vidogo 2
6 Mayai 6 yakienyeji
NOTE Vanilla matone mawili au limao 1 Zingatia Limao au vanilla hutumika kwaajili ya kupunguza harufu ya mayai kwenye keki.kwahiyo ukikosa vanilla pia waweza kutumia maganda ya limao. Pia andaa jiko lako la mkaa mapema ili lipate joto pamoja na sufuria iliyopakwa siagi ndani ili kuzuia keki kuganda.

Jinsi Ya Kupika Keki

Steps Jinsi Ya Kupika Keki
1 Andaa bakuli lako la udongo na mwiko ambao utatumia kuchanganya mchanganyiko wako
2 Chukua kikombe kimoja cha siagi na utie katika bakuli pamoja na kikombe kimoja cha sukari.
3 Koroga mchanganyiko wa sukari na siagi mpaka pale utakapolainika na chembe chembe za sukari kupotea kabisa
4 Weka yai moja baada ya jingine huku ukiendelea kuukoroga mchanganyiko wako bila kupumzisha mkono
5 Weka matone mawili ya vanilla au maganda ya limao huku ukiendelea kuchanganya.
6 Weka unga vikombe viwili uliochanganywa na baking powder kwenye mchanganyiko wako na endelea kuukoroga taratibu
7 Baada yahapo tia maziwa kikombe kimoja nauchanganye taratibu
8 Mimina taratibu mchanganyiko wako kwenye sufuria maalumu yakupikia iliyopakwa siagi. Zingatia Iwapo utapenda keki yako iwe na rangi unaweza ukaweka kokoa kwenye mchanganyiko wako.
9 Weka sufuria ya mchanganyiko katika jiko lenye joto la wastani kwa muda wa nusu saa
10 Baada ya hapo toa keki yako tayari kwakuliwa.
Jinsi Ya Kupika Keki

VIDEO GUIDE

EDITOR’S RECOMENDATION

Michel John
Michael John is a founder of Superkwazulunews. He's inspired to share to the world his opinion on several small simple things that bring meaningfulness to life. He loves sports and spends most of his free time playing football and creating content, At various times, he has been the Social Editor, Creative Editor, and web editor
error: Content is protected !!