pnz

Meseji Za Mapenzi-Dumisha Penzi Na Meseji Nzuri Za Mapenzi

Meseji Za Mapenzi

Meseji Nzuri Za Mapenzi: Mapenzi ni Nini?? Niswali jepesi lenye majibu mengi. Kwa mtazamo wangu mwandishi wa nakala hii Mapenzi/ upendo ni hisia inayotoka ndani ya moyo inayoambatana na vitendo kutoka kwa mmoja wa watu wawili wanaopendana. Mapenzi ni hisia hivyo unae mpenda huwez mlazimisha nae akupende kwa kiwango unacho mpenda wewe, na mbaya zaidi unaweza mpenda mtu asie kupenda kabisa ata kikaka na dada. Mapenzi hujengwa, mapenzi yanatengenezwa kwa vitu mbalimbali. Kulitambua hilo Tumekuletea Meseji za mapenzi zitakato kusaidia kudumisha au kutengeneza penzi kwa unaempenda. Tengeneza mausiano yako na Meseji Nzuri Za Mapenzi.

Meseji Nzuri Za Mapenzi

Meseji Nzuri Za Mapenzi

meseji nzuri za mapenzi 

Ifanye kila siku iwe Siku ya Wapendanao na ishara tamu ya kuwakumbusha ni kiasi gani wanamaanisha kwako.Mtumie meseji nzuri Bila kuona Haya
ua Usikimbie nyuki ukakosa asali, utamu wa samaki ni kula na wali, usizidishe siki akawa mkali. Ni mimi niliye na dhiki nakujulia tu hali.
 • If I could be with you forever, I’d be the happiest person alive.
 • Sometimes observing your beauty in action makes me absolutely speechless. Words fail me.
 • Meeting you was the best day of my life.
 • I can’t imagine living a life without you. You are the definition of life to me.

Meseji Nzuri Za Mapenzi

ua Nina huzuni moyoni sijui kwa kuwa siku hizi sikuoni, naishia kukuota ndotoni, hivi kweli nipo kwako moyoni? Nakupenda

Uzuri wako hung’ara kuendana na matendo yako, Ushupavu, upole, ujasiri na uchambuzi wa kweli, kwa yote yajayo mbeleni mwako.

ua Niliumbwa kwa ajili yako, mbele yako nitakushika mkono, nikuonyesha sayari yangu, pendo langu la undani, na NITAKUHESHIMU milele mpenzi wangu.

 

Mpenzi najua u-mbali nami, majaribu ni mengi wapaswa kujihami, nitunzie zangu zabibu wangu tabibu, jitahidi kuwa mvumilivu nitakuja kukutibu, miss u ma luv.

ua Meeting you was like an answer to a prayer, I became happier, my heart always feels good, I feel good, and I know for sure, you feel good as well.
 • I love you so much that I’m going crazy. I can’t stop thinking and dreaming about you. Only it makes me feel alive and gives my life a meaning. Please, don’t ever take it away from me.
 • Since the time I’ve met you, I cry a little less, laugh a little harder and smile all the more, just because I have you, my life is a better place.
 • Every day with you is a wonderful addition to my life’s journey.
 • You’re my paradise and I’d happily get stranded on you for a lifetime.
 • Just when I think that it is impossible to love you any more than I already do, you prove me wrong.
 • Do you know who really loves you? The person, who secretly prays for you to God. I love you very much.
 • Even the sunniest day, met without you, becomes sullen. Only your love paints all around with bright colors.

Meseji Nzuri Za Mapenzi

Meseji Za Mapenzi-Dumisha Penzi Na Meseji Nzuri Za Mapenzi

Meseji Za Mapenzi Niseme nini ujue nakupenda? Nifanye nini ujue nakupenda? Nikuite jina gani ujue ni wewe peke yako upo moyoni mwangu? Hakika hakuna ila moyo wangu ndio unaosema kuwa nakupenda, niamini mpenzi

upendo ni jibu kwamba kila mmoja anataka… . upendo ni lugha , kwamba kila mmoja anaongea, upendo hauwez kununutiwa, na isiyo kadirika na ya bure,upendo kama uchawi safi,ni siri ya maisha matamu nakupenda mpenzi

Meseji Za Mapenzi Mimi sitaki kuwa kila kitu kwa kila mtu, lakini napenda kuwa kitu kwa mtu.na mtu mwenyewe ni wewe” nakupenda laazizi

mapenzi ni utoto,deka ulie nitakubembeleza,mapenz ni zawadi,tabasamu,nibusu niambie kiasi gani unanipenda,naweza kusema asilimia kubwa jina lako limezunguka ukuta wa moyo wangu,na kamwe jina lako haliwezi futika. NAKUPENDA

Meseji Nzuri yapitayo mdomoni yametokea moyoni ,uyaonayo hadharani nimeagizwa na manani yakuridhishayo nafsini ni utamu wa yakini.

Meseji Nzuri Za Mapenzi

upendo wa moyoni ndiyo dhati niliyoamini amini kwa haya nisemayo nakupenda wewe ndiyo kaburi nitakalozikwa nalo

Meseji Nzuri Nakupenda mpenzi wewe unaumuhimu mkubwa kwenye maisha yangu kwani ukiniacha mpenzi utanisababishia kovu ambalo halitapona .nakupenda sana

mapigo yangu ya moyo huongezeka pindi nisipokuona japo kwa dakika plz mpenzi kaa karibu yangu utulize mapigo

Meseji Nzuri Za Mapenzi Siku zote kwangu ni sherehe ni wewe unishereheshaye,ukweli usio na kejeli mapenzi yako yanatii kiu yangu,moyoni mwangu nimeridhia. .nakupenda claim mpenzi!

EDITOR’S RECOMMENDATION

Michel John
Michael John is a founder of Superkwazulunews. He's inspired to share to the world his opinion on several small simple things that bring meaningfulness to life. He loves sports and spends most of his free time playing football and creating content, At various times, he has been the Social Editor, Creative Editor, and web editor
error: Content is protected !!