Michepuo Ya Masomo/ Tahasusi Za Masomo Kidato Cha Tano

Combination za masomo kidato cha Tano

Elimu ya sekondari katika ngazi ya Kidato cha Kwanza hadi cha Nne imekuwa ikiongozwa na michepuo ya mbalimbali kama Sanaa, Sayansi, Ufundi na Biashara. Halika dhalika, masomo ya sekondari Kidato cha Tano na Sita yamekuwa ya kifundishwa kwa kutumia Tahasusi mbalimbali. Kupitia chapisho ili Tutakuelekeza michepuo ya masomo kidato cha tano (Combination za masomo kidato cha Tano au Tahasusi Za Masomo Kidato Cha Tano)

Michepuo Ya Masomo/ Tahasusi Za Masomo Kidato Cha Tanomichepuo ya masomo kidato cha tano

Elimu ya Tanzania Kwa sasa Imegawanyika katika michepuo Mitatu ambayo ni

  • Michepuo ya Sanaa ( Arts Subjects)
  • Michepuo Ya Sayance ( Science subjects)
  • Michepuo Ya Biashara ( Business Subjects)

Combination za masomo kidato cha Tano

Zifuatazo ni Combination za masomo kidato cha Tano/Tahasusi Za Masomo Kidato Cha Tano (tahasusi na kozi zake)

Tahasusi na Kozi Zake

COMBINATION/TAHASUSI MASOMO
PCM Physics, Chemistry, and Mathematics
PCB Physics, Chemistry, and Biology
PGM Physics, Geography snd Mathematics
CBG Chemistry, Biology, and Geograph
EGM Economics, Geography, and Mathematics
CBA Chemistry, Biology, and Agriculture
CBN Chemistry, Biology, and Nutrition
HGL History, Geography, and Language
HGK History, Geography, and Kiswahili
HKL History, Kiswahili and Language
KLF Kiswahili, Language and french
ECA Economics, Commerce and Accountancy
 HGE History, Geography, and Economics
PMC physics, Mathematics, and Computer
KFC Kiswahili, French and Chinese
KEC Kiswahili, English, and Chinese
PBF Physical Education, Biology and Fine Art
PGE Physical Education, Geography, and Economics

EDITOR’S RECOMMENDATION

Michel John
Michael John is a founder of Superkwazulunews. He's inspired to share to the world his opinion on several small simple things that bring meaningfulness to life. He loves sports and spends most of his free time playing football and creating content, At various times, he has been the Social Editor, Creative Editor, and web editor
error: Content is protected !!